Random Posts

Hafla ya Uzinduzi ya Taasisi ya wachumi Tanzania Economics Society Of Tanzania (EST)

 Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji TIC na Mwenyekiti wa Kamati Uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wachumi Tanzania Economics Society Of Tanzania  (EST) Bw. Godfrey Mwambe  akipokea katiba ya Chama hicho kutoka kwa Vick Msima Meneja Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki  (BOT)kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa jumuiya hiyo kwenye ukumbi wa BOT  Februari 24, 2018  jijini Dar es salaam  ambapo Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango katikati anayeshuhudia ndiye aliyezinduam, Kulia ni Gavana wa Benki Kuu (BOT)Profesa Florens Luoga.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
 Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango katikati akizindua katiba ya chama hicho  kwa kushirikiana na Gavana wa Benki Kuu (BOT)Profesa Florens Luoga na mawaziri pamoja na viongozi mbalimbali wachumi wakishiriki katika zoezi hilo.
 Baadhi ya wachumi wakiwa katika uzinduzi wa jumuiya hiyo kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam Fubruari 24, 2018.
 Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango katikati akionyesha  katiba ya chama hicho na  Gavana wa Benki Kuu (BOT)Profesa Florens Luoga na mawaziri pamoja na viongozi mbalimbali wakishiriki katika zoezi hilo.
 Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango katikati pamoja na  Gavana wa Benki Kuu (BOT)Profesa Florens Luoga na mawaziri pamoja na viongozi mbalimbali wachumi  wakionyesha katiba ya Jumuiya hiyo baada ya kuzinduliwa rasmi leo jijini Dar es salaam..
 Picha mbalimbali zikionyesha washiriki mbalimbali wa mkutano huo wa uzinduzi ambao ni wachumi na wanachama wa (EST)
 Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango katikati akiwa katika picha ya pamoja na  Gavana wa Benki Kuu (BOT)Profesa Florens Luoga na mawaziri pamoja na viongozi mbalimbali wachumi walioshiriki katika uzinduzi huo.
Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango katikati akiwa katika picha ya pamoja na  Gavana wa Benki Kuu (BOT)Profesa Florens Luoga na mawaziri pamoja na viongozi mbalimbali wachumi walioshiriki katika uzinduzi huo.

Post a Comment

0 Comments