Matukio Katika picha Bunge mjini Dodoma Februari 8, 2018 - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 9 February 2018

Matukio Katika picha Bunge mjini Dodoma Februari 8, 2018

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, katikati ni mbunge wa Bunge la Muungano (CCM) Ayoub Hashim Jaku, Februari 8, 2018. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mluu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Kagera, Bernadeta Kasabago kwenye jengo la utawala Bungeni, mjini Dodoma, Februari 8, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahi jambo na  Mtangazaji Mwandamizi wa TBC, Shaaban Kisu, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 8, 2018.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages