Matukio katika picha kutoka Bungeni Mjini Dodoma Februari 9, 2018. - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 9 February 2018

Matukio katika picha kutoka Bungeni Mjini Dodoma Februari 9, 2018.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha bunge mjini Dodoma Februari 9, 2018.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt, Adelardus Kilangi baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha bunge mjini Dodoma Februari 9, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na wapili kulia ni Waziri Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, bungeni mjini Dodoma, Februari 9, 2018. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha bunge mjini Dodoma Februari 9, 2018.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages