Kushoto katika picha ni Mhandisi Joseph Nyamhanga
Katibu Mkuu Ujenzi, pembeni yake Prof.
Joseph Buchweishaija Naibu Katibu Mkuu Prof.
Joseph Buchweishaija, Bi. Amina Kh. Shabaan Naibu Katibu Mkuu, Fedha na Mipango na kulia katika picha ni Mhandisi
Shomar O. Shomari Naibu
Katibu Mkuu, Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar ni washiriki katika wa Mkutano wa Majadiliano wa
Miundombinu ya Uchukuzi, Fedha na
Afya unaoendelea kufanyika katika ukumbi
wa mikutano wa Speke Resort Munyonyo-Uganda
Picha
na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki


0 Comments