Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja
vya Mwembetogwa mkoani Iringa.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Sehemu ya Wakazi wa Iringa mjini waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
(Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais)




0 Comments