Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Mafunzo Maalum ya
Kijeshi kilichopo Mapinga, Bagamoyo Mkoani Pwani. Wa Pili kushoto anayevuta
utepe ni Naibu Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Mafunzo kutoka tume Kuu ya Kijeshi
ya China Meja Jenerali Yang Jian na wa kwanza kushoto anayepiga makofi ni
Balozi wa China hapa nchini Wang Ke.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania
(CDF) Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kufungua Kituo hicho cha Mafunzo
Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga, Bagamoyo Mkoani Pwani
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akimshukuru Naibu Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Mafunzo kutoka
tume Kuu ya Kijeshi ya China Meja Jenerali Yang Jian mara baada ya ufunguzi wa
kituo hicho ambacho kimejengwa kwa msaada kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa
China.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt.
Husein Mwinyi wakati alipokuwa akiandika jambo katika hotuba yake.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akihutubia wananchi mara baada ya kufungua Kituo cha Mafunzo
Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga, Bagamoyo Mkoani Pwani.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa China hapa nchini, Wang Ke mara baada ya
kukifungua kituo hicho cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiagana na Naibu Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Mafunzo kutoka
tume Kuu ya Kijeshi ya China Meja Jenerali Yang Jian mara baada ya kukifungua
kituo hicho cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati alipokuwa akizungumza na Mbunge wa
Bagamoyo Dkt. Shukuru Kawambwa, Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete pamoja na
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo mara baada ya kufungua kituo hicho
cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mapinga(hawaonekani pichani)
waliokuwa wakiwasilisha kero mbalimbali za ardhi wakati alipokuwa akirejea
jijini jijini Dar es Salaam mara baada ya kufungua kituo hicho cha Mafunzo
Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga mkoani Pwani.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makomandoo wa JWTZ ambao
walishiriki katika mazoezi ya Kijeshi kabla ya ufunguzi wa kituo hicho.
Kikundi
cha Ngoma za asili cha Makao makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania
kikitumbuiza wakati wa sherehe za ufunguzi wa kituo hicho cha Mafunzo maalum ya
Kijeshi kilichopo Mapinga mkoani Pwani.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment