Kocha wa Man City Pep Guardiola amesema kwamba wameshindwa kumsaini Riyad Mahrez kwenye hili dirisha dogo hivyo watajatibu tena majira ya joto.
Akiongea baada ya ushindi wao dhidi ya West Brom Pep amesema ” Ni mchezaji wa Leicester. Kila mtu anajua tulijaribu lakini hatukumudu kwa wakati huu kwa kiasi walichokitaka”.
.
Inaaminika kwamba Leicester walitaka paundi millioni 95 huku City wakiwa tayari kutoa paundi millioni 65 na mchezaji, ofa hiyo iligonga mwamba.
.
“Tulijaribu kufanya kwenye majira ya joto, tulijaribu kufanya sasa, lakini kama kwenye majira ya joto walifunga mlango na tunaweza kwenda kwenye majira ya joto (dirisha la usajili linalofuata) na sikukuu” amesema Pep.

Kwa ushindi wa City dhidi ya West Brom, vijana wa Sheikh Mansour wanazidi kujikita kileleni mwa ligi kwa pointi 68 wakiwaacha wapinzani wao Man Utd kwa pointi 15 waliopata kichapo cha goli 2 kutoka kwa Tottenham.

0 Comments