Maher al Barwani akiondoka baada ya kusalimiana na viongozi wa viwaza mjini Dodoma.
Pikipiki anayotumia aina ya BMW ina uwezo wa kukimbia kwa spidi 240.
Kwa
muda wa miezi saba Maher al Barwani ameweza kusafiri umbali wa kilomita
18,035.6 kutoka Oman hadi ofisi za Makao Makuu ya Wizara ya Maliasili
na Utalii mjini Dodoma.
Maher al Barwani anapatikana kupitia Mawasiliano hayo.
Maher
al Barwani akimuelezea Ndugu David ambeye ni Afisa Usafirishaji wa
Wizara ya Maliasili na Utalii jinsi alivyoweza kutumia usafiri huo wa
pikipiki kutoka nchini Oman hadi Tanzania.
Picha ya pamoja ya Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (kulia) na Maher Al Barwani, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Aloyce Nzuki na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala, Tutubi Mangazeni.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Aloyce Nzuki akiteta jambo na Maher
Al Barwani kutoka Oman mwenye asili ya Tanzania ambaye amesafiri kwa
muda wa miezi saba kupitia mataifa mbalimbali hadi kufika Tanzania kwa
pikipiki kwa lengo la kuimarisha uhusiano uliopo baina ya nchi hizo
mbili pamoja na kutangaza utalii wa Tanzania nchini humo alipotembelea
ofisi za Wizara hiyo mjini Dodoma jana. Kulia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akiteta jambo na Maher
Al Barwani kutoka Oman mwenye asili ya Tanzania ambaye amesafiri kwa
muda wa miezi saba kupitia mataifa mbalimbali hadi kufika Tanzania kwa
pikipiki kwa lengo la kuimarisha uhusiano uliopo baina ya nchi hizo
mbili pamoja na kutangaza utalii wa Tanzania nchini humo alipotembelea
ofisi za Wizara hiyo mjini Dodoma jana. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Dk. Aloyce Nzuki na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala, Tutubi
Mangazeni.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akiteta jambo na Maher
Al Barwani kutoka nchi ya Oman mwenye asili ya Tanzania ambaye
amesafiri kwa muda wa miezi saba kupitia mataifa mbalimbali hadi kufika
Tanzania kwa pikipiki kwa lengo la kuimarisha uhusiano uliopo baina ya
nchi hizo mbili pamoja na kutangaza utalii wa Tanzania nchini humo,
alipotembelea ofisi za Wizara hiyo mjini Dodoma.
(PICHA NA HAMZA TEMBA-WMU-DODOMA)
0 Comments