Mkuu wa Magereza Mkoa wa Lindi, Kamishna
Msaidizi wa Magereza, Ndg. Rajab Bakari (kushoto) akifafanua jambo pale kamati
ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama ilipokuwa inakagua miradi
mbali mbali na ukarabati wa mabweni ya wafungwa leo tarehe 17 Machi, 2018 Wilayani
Ruangwa Mkoani Lindi. Katikati ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Mussa Zungu
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo
ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) akisalimiana na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira
(kulia) wakati alipowasili kwa ajili ya kukagua
miradi mbali mbali na ukarabati wa mabweni ya wafungwa leo tarehe 17 Machi,
2018 Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi.
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya
nje, ulinzi na usalama, Mhe. Cosato Chumi akizungumza wakati wa kupokea na
kujadili taarifa ya kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Lindi katika kikao
kilichofanyika leo tarehe 17 Machi, 2018 katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya
nje, ulinzi na usalama wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi
akizungumza wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya kamati ya ulinzi na
usalama ya Mkoa wa Lindi katika kikao kilichofanyika leo tarehe 17 Machi, 2018
katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi
akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na
usalama wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya kamati ya ulinzi na usalama ya
Mkoa wa Lindi katika kikao kilichofanyika leo tarehe 17 Machi, 2018 katika
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)


0 Comments