Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Usimamizi wa Bima
wa Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA)
akizungumza wakati alipotembelea banda Shirika la Bima la Taifa (NIC) kwenye
maoneysho ya makampuni ya Bima nchini yaliyofanyika Machi 28,2018 Mlimani City
Jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na Taasisi ya Bima Tanzania (IIT), kushoto
ni Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga na kulia ni Afisa Bima
Mwandamizi wa NIC Konjeta Mwaipopo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima
Tanzania (ATI) ambaye pia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga akizungumza jana wakati
wa mkutano wa wadau wa bima nchini ulioandaliwa na Taasisi ya Bima Tanzania
(IIT), mkutano huo ulifanyika Machi 28, 2018 Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
0 Comments