Random Posts

PROF. Mkumbo Aongoza Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Baraza Lapitia Utekelezaji wa Mpango na Changamoto

 Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji wakisikiliza mada katika kikao kilichofanyika Machi 28, 2018 Dodoma.  
 Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Prof. Kitila Mkumbo (kulia), pamoja na wajumbe wengine, akifuatilia mada wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi Machi 28, 2018  Dodoma.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji wakisikiliza utekelezaji wa mpango wa wizara Machi 28, 2018 mkoani Dodoma.

Post a Comment

0 Comments