Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ripoti
ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa ajili ya kwenda
kuifanyia kazi pamoja na Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa
Taasisi mbalimbali za Serikali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu
za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad mara baada ya kupokea Ripoti yake Ikulu
jijini Dar es Salaam. Katikati ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati akitolea ufafanuzi baadhi ya
hoja zilizowasilishwa katika taarifa
hiyo ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) mezani kwake mara baada ya kuzipokea kutoka kwa CAG
Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati akitolea ufafanuzi baadhi ya
hoja zilizowasilishwa katika taarifa
hiyo ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati viongozi wa Kamati mbalimbali
za Bunge walipokuwa wakizungumza mara
baada ya uwasilishwaji wa taarifa hiyo ya CAG
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza mara baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad kuwasilisha taarifa yake Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Mawaziri waliohudhuri katika tukio la uwasilishwaji wa Taarifa ya Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
(CAG wakifatilia kwa makini taarifa hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad akisoma
muhtasari wa muhtasari wa Taarifa yake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Kamati ya bunge ya Bajeti Hawa Ghasia
akizungumza mara baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Profesa Mussa Assad kuwasilisha taarifa yake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu
Spika Dkt. Tulia Ackson akizungumza mara baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad kuwasilisha taarifa yake Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Jaji
Mkuu Profesa Ibrahim Juma akizungumza mara
baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa
Assad kuwasilisha taarifa yake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson
mara baada ya kupokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
(CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara
baada ya kupokea Taarifa ya Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad pamoja na
wafayakazi mbalimbali kutoka katika Ofisi yake mara baada ya kuwasilisha
taarifa hiyo ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka unaoishia tarehe 30
Juni 2017, Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA
NA IKULU

0 Comments