Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto Magreth Mussai akitoa ujumbe kwa wakazi wa Kijiji cha Isongwa wilayani Urambo jana juu ya kupambana na mimba kwa wanafunzi na ndoa za utotoni wakati wa kampeni za Mkuu wa Mkoa wa Tabora za kuhamasisha wakulima wa pamba kunyunyuzia dawa za kuua wadudu kwa usahihi.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Adamu Malyunkwi (kulia) akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Isongwa jana wakati wa kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(kushoto) ya kuhamasisha wakulima wa pamba juu ya matumizi sahihi ya kuua wadudu katika pamba.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Urambo Pascal Byemela (kulia) akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Isongwa jana wakati wa kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(kushoto) ya kuhamasisha wakulima wa pamba juu ya matumizi sahihi ya kuua wadudu katika pamba.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiwaelimisha wakazi wa Kijiji cha Tibera wilayani Urambo jana juu ya unyunyuziaji wa dawa za kuua wadudu waharibifu wa zao la pamba wakati wa kampeni zake za kuokoa zao hilo.
Mkuu wa Wilaya ya Urambo Angelina Kwingwa (kulia) (kulia) akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Isongwa jana wakati wa kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(kushoto) ya kuhamasisha wakulima wa pamba juu ya matumizi sahihi ya kuua wadudu katika pamba.
Picha na Tiganya Vincent
RS-Tabora





0 Comments