Mwenyekiti wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Jason Rweikiza (Mb) akizungumza
na wananchi wilayani Maswa wakati wa ya kikazi ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala na Serikali za Mitaa yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi
inayotekelezwa na TASAF.
Katibu
Tawala Mkoa wa Simiyu Bw. Jumanne A. Sagini
akiwakaribisha Wilayani
Maswa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala
na Serikali za Mitaa wakati wa ziara ya kikazi ya kamati hiyo yenye lengo la
kukagua maendeleo ya miradi
inayotekelezwa na TASAF mkoani Simiyu.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, UTUMISHI na Utawala Bora, Kapteni
(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wanufaika wa Mpango wa
Kunusuru Kaya Maskini Wilayani Maswa wakati wa ziara ya kikazi ya Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa yenye lengo la kukagua
maendeleo ya miradi inayotekelezwa na
TASAF.
Mwenyekiti wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Jason Rweikiza (Mb)
akimkabidhi mnufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Bi. Monica
Kwilasa msaada wa pesa zilizochangwa na wajumbe wa kamati yake ikiwa ni sehemu
ya kumpongeza mnufaika huyo kwa kujenga nyumba kupitia pesa za Mpango wa
Kunusuru Kaya Maskini zinazotolewa na TASAF.
Wanafunzi wa shule ya
Nyalikungu Sekondari wilayani Maswa ambao ni wanufaika wa pesa za Mpango wa
Kunusuru Kaya Maskini wakitoa burudani kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na
Serikali za Mitaa wakati wa ziara ya kikazi ya kamati hiyo yenye lengo la
kukagua maendeleo ya miradi inayotekelezwa
na TASAF.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala na Serikali za Mitaa wakijitambulisha kwa wananchi wilayani Maswa
wakati wa ziara yao ya kikazi ya kukagua maendeleo ya miradi inayotekelezwa na TASAF.


0 Comments