Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi
ya mashabiki wa Tanzania na Morocco walio kuja kushudia mchezo wa kirafiki wa
Kimataifa wa Timu ya Taifa Vijana walio chini ya Umri wa miaka 20 (Ngorongoro
Heroes )na Timu ya Morocco.Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Balaozi wa Morocco Nchini
Tanzania ,Abdelilah Benryane . mchezo huo umefanyika jana kwanye Uwanja wa
Uhuru jijini Dar es salaam March 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi
wa Morocco nchini, Abdelilah Benryane . walipokutana kushuhudia mchezo wa kirafiki wa kimataifa,
Timu ya Taifa Vijana walio chini ya Umri
wa miaka 20 (Ngorongoro Heroes )na Timu ya Morocco. Ambao umefanyika jana
kwanye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam March 18, 2018.
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU


0 Comments