Home
Contact
Random Posts
Home
HABARI
SIASA
BIASHARA
MICHEZO
BURUDANI
AFYA
ELIMU
UREMBO
Home
HABARI
Majaliwa Asalimiana na Aliyewahi Kutumia Dawa za Kulevya na Sasa Kaacha.
Majaliwa Asalimiana na Aliyewahi Kutumia Dawa za Kulevya na Sasa Kaacha.
Mtazamomedia blog
April 05, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Marine Mutongore ambaye awali alikuwa akitumia dawa za kulevya na sasa ameacha baada ya kupata matibabu na msaada katika Nyumba za Upataji Nafuu (Sober House). Kijana huyo ni mmoja wa wageni walioingia bungeni kumsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
(
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment
0 Comments
Social Plugin
Featured Post
HABARI
𝐓𝐈𝐁 𝐘𝐀𝐔𝐍𝐆𝐀 𝐌𝐊𝐎𝐍𝐎 𝐀𝐉𝐄𝐍𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐍𝐈𝐒𝐇𝐀𝐓𝐈 𝐒𝐀𝐅𝐈 𝐊𝐔𝐄𝐋𝐄𝐊𝐄𝐀 𝐃𝐈𝐑𝐀 𝟐𝟎𝟓
Mtazamomedia blog
August 17, 2026
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimkabi…
Popular Posts
VICE PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN OPENS THE SADC DEVELOPMENT FINANCE INSTITUTIONS NETWORK CHIEF EXECUTIVE OFFICERS' FORUM IN DAR
July 06, 2017
𝐊𝐔𝐍𝐃𝐄𝐌𝐁𝐀 𝐅𝐂 𝐌𝐀𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 𝐏𝐁𝐙 𝐘𝐀𝐌𝐋𝐄 𝐘𝐀𝐌𝐋𝐄 𝐂𝐔𝐏, 𝐌𝐀𝐒𝐀𝐔𝐍𝐈 𝐀𝐖𝐀𝐏𝐀 𝟏𝟎𝐌
August 16, 2026
Dkt. Kigwangalla Ashiriki Mazishi ya Mama Yake Mzazi Hussein Bashe Wilayani Nzega
June 02, 2018
0 Comments