Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha hotuba kuhusu mapitio na
mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya
fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019,
bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua hotuba kuhusu mapitio na
mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya
fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019,
bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielekea kwenye eneo la kuwasilisha hotuba
kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato
na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa
mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista
Mhagama na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na
Mazingira, January Makamba baada ya kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio
na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya
fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019,
bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wakuu wa Taasisi zilizoko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu,
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasilisha hotuba
kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato
na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa
mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Maimuna Tarishi kwenye viwanja vya Bunge Mini Dodoma baada
ya hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio
ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya
Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mini Dodoma Aprili 4, 2018.
(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa akipongezwa na Makatibu Wakuu,
Ofisi ya Waziri Mkuu Profesa Faustin Kamuzora -Sera na Uratibu(wapiti
kulia), Eric Shitindi - Kazi, Akira na Wenye Ulemavu (kulia) na Maimuna
Tarishi- Waziri Mkuu na Bunge (wapili kushoto) baada ya kuwasilisha
hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya
mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge
kwa mwaka 2018/2019, bungeni mini Dodoma Aprili 4, 2018. Watatu kulia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Kazi Uchumi na Jamii(LESCO), Det. Samwel
Nyantahe.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika
(Katikati) na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango kwenye
viwanja bunge baada ya kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo
wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za
Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni
mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Afisa Mtetezi CCBRT Bw.
Fredrick Msigala kwenye viwanja vya Bunge baada ya kuwasilisha hotuba
kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato
na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa
mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge wa Viti Maalum,
Faida Mohammed Bakari (katikati), Azza Hilal Hamad (kulia) na Aisharose
Matembe kwenye viwanja vya Bunge baada ya kuwasilisha hotuba kuhusu
mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na
matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka
2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
0 Comments