Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akizindua Siku ya Wanawake wa Mfano Tanzania iliyoandaliwa na Umoja wa wanawake wa Tanzania (UWT) katika ukumbi wa PTA, jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mama Fatma Karume akionyesha juu tuzo ya Mwanamke wa Mfano Tanzania ikiwa sehemu ya kutambua mchango wake katika harakati za Mapinduzi ambapo yeye alikuwa mke wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Abeid Aman Karume. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi tuzo ya Mwanamke wa Mfano mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Anna Makinda akionyesha juu Tuzo yake ya Mwanamke wa Mfano mara baada ya kukabidhiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mama Fatma Karume mke wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar akitoa nasaha zake mara baada ya kupokea tuzo ya Mwanamke wa Mfano iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT). (Picha na Ofisi ya Makamu )

0 Comments