Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za
wabunge wakati wa Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mjini Dodoma.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (Chini kushoto) akiteta jambo
na Mbunge wa Urambo Mhe. Margaret Sitta
(Chini Kulia) na Juu Kulia ni Naibu Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara ba
Uwekezaji Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akimueleza jambo Mbunge wa Mbozi Mhe.
Pascal Haonga wakati wa Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mjini Dodoma.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson
akiongoza Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim
Majaliwa akimueleza jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Mkuchika.
PICHA NA MAELEZO




0 Comments