Afisa
Mtendaji Mkuu wa benki ya TPB Sabasaba Moshingi akisalimiana na
wachezaji wa timu za wavu za Vyuo vya Mafunzo Zanzibar na Magereza
Ukonga, kabla ya kufungua rasmi michezo ya Tamasha la Pasaka
linalozihusisha timu hizo hapo Machi 1, 2018. Nyuma yake ni Naibu Kamishna wa
Magereza, Gideon Nkana.
0 Comments