Random Posts

Matukio Katika Picha mkutano Wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za Madola jijini London.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Viongozi wengine kuingia kwenye mkutano Wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za Madola uliofanyika kwenye jumba la kifalme la Windsor Castle jijini London. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Waziri Mkuu wa Uingereza Bi. Theresa May akiwaongoza Wakuu wa Nchi na Viongozi wa Serikali mbali mbali kuingia ndani ya Jengo la Kifalme la Windsor Castle tayari kwa  mkutano mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Post a Comment

0 Comments