Random Posts

Matukio ya Ofisi ya Rais Tamisemi Kutoka Bungeni Mjini Dodoma

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akijibu hoja za Wabunge wakati wa kuhitimisha Bajeti ya OR- TAMISEMI.
 Naibu Waziri –TAMISEMI Mhe.Josephat Sinkamba Kandege akijibu hoja wakati wa kuhitimisha Bajeti ya OR-TAMISEMI.
 Naibu Waziri –TAMISEMI Mhe.Joseph George Kakunda  akijibu hoja wakati wa kuhitimisha Bajeti ya OR-TAMISEMI
 Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng Mussa Iyombe(Pili kushoto) akiwa na watumishi wa Wizara wakifuatilia majadiliano ya Bajeti wakati wa kuhitimisha Bajeti ya OR-TAMISEMI.
 Mkurugenzi wa Sera na Mipango OR-TAMISEMI John Cheyo(kushoto) akifuatiwa na Mkurugenzi wa Udhibiti wa huduma za TEHAMA Michael Moshiro wakati wa kuhitimisha Bajeti ya OR-TAMISEMI.
 Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya OR-TAMISEMI wakifuatilia mjadala wa kuhitimisha Bajeti ya TAMISEMI.
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya OR-TAMISEMI wakifuatilia mjadala wa kuhitimisha Bajeti ya TAMISEMI.

Post a Comment

0 Comments