zikimuonesha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Marubani wa Ndege ya abiria ya ATCL wakati akielekea kupanda
ndege hiyo kuelekea mkoani Kilimanjaro na badae mkoani Manyara kwa ajili ya
shughuli mbalimbali za Kitaifa mkoani humo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda
ndege hiyo ya abiria ya Shirika la Ndege la ATCL kuelekea mkoani Kilimanjaro na
baadae mkoani Manyara.
PICHA NA IKULU


0 Comments