Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta
utepe pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi
Adesina kushoto na Balozi wa Japan hapa
nchini Masaharu Yoshida pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Pro. Makame Mbarawa kuashiria ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251
katika sherehe zilizofanyika Bicha Kondoa mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe pamoja na Rais wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina, Balozi wa Japan hapa nchini
Masaharu Yoshida kuashiria ufunguzi wa
barabara ya Dodoma-Babati km 251 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha
lami, Kondoa mkoani Dodoma. Wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
, Spika wa Bunge Job Ndugai, Wabunge pamoja na viongozi wengine wa Serikali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amewashika mikono na kuwanyanyua juu, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
(AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina kushoto na
Balozi wa Japan hapa nchini Masaharu Yoshida mara baada ya wote kwa pamoja kukata utepe
kuashiria ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251 katika sherehe
zilizofanyika Bicha Kondoa mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Mbunge wa Chemba Juma Nkamia mara baada ya kufungua
barabara ya Dodoma-Babati km 251 katika sherehe zilizofanyika Bicha Kondoa
mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya
kufungua barabara ya Dodoma-Babati km 251 katika sherehe zilizofanyika Bicha
Kondoa mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi
Adesina wakati wa sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251
Kikundi
cha kwaya cha JKT Makutupora kikitumbuiza katika sherehe za ufunguzi wa
barabara ya Dodoma-Babati km 251 zilizofanyika Kondoa mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza katika sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251,
Kondoa mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mbunge wa Babati Mjini Pauline Gekul ambaye alihudhuria katika sherehe hizo za ufunguzi wa Barabara
ya Dodoma-Babati km 251, Kondoa mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishikana mikono na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Akinwumi Adesina na Balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe. Masaharu Yoshida baada ya kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mshariki Dkt. Augustine Mahiga baada ya kuhutubia kwenye sherehe za kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi za jadi toka kwa wazee wa Kondoa wakati wa sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Akinwumi Adesina akipewa zawadi na wazee wa Kondoa baada ya ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018
Balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe. Masaharu Yoshida akipewa zawadi na wazee wa Kondoa baada ya ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha na wananchi wa vyama mbalimbali vya siasa waliohamia CCM baada ya sherehe za kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi wa Dodoma na Manyara alipowasili kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono wananchi waliojipanga kando kando ya barabara ya
Dodoma-Babati mara baada ya kuifungua barabara hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi wa Dodoma na Manyara baada ya kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018
Sehemu ya barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa inavyoonekana leo Aprili 27, 2018
Picha na IKULU























0 Comments