Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride
lililoandaliwa na Jeshi la Polisi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya
Bunge kwa ajili ya kuhutubia Bunge la Afrika Mashariki (EALA) linalofanyika kwa
mara ya kwanza katika makao makuu ya Serikali mjini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama
wakati wa Wimbo wa Taifa ulipokuwa ukipigwa katika viwanja vya Bunge mjini
Dodoma kabla ya kwenda kuhutubia Bunge la Afrika Mashariki linalofanyika kwa
mara ya kwanza katika makao makuu ya Serikali mjini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Martin Ngoga mara baada ya kuwasili katika
viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuhutubia Bunge la Afrika Mashariki
linalofanyika kwa mara ya kwanza katika makao makuu ya Serikali mjini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika
ukumbi wa Bunge wa Msekwa kwa ajili ya kuhutubia Bunge la Afrika Mashariki
mjini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama
wakati wa wimbo wa taifa uliokuwa ukipigwa ndani ya ukumbi wa Bunge wa Msekwa ambapo alihutubia katika Bunge la
Afrika Mashariki (EALA) mkoni Dodoma.
Spika
wa Bunge la Afrika Mashariki Martin Ngoga akizungumza kabla ya kumkaribisha
mgeni Rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
kuhutubia Bunge hilo la Afrika Mashariki (EALA).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Bunge la
Afrika Mashariki (EALA) linalofanyika mkoni Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki ( EALA) Martin Ngoga pamoja na
Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya
kuhutubia Bunge la EALA mjini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wa tatu kutoka kulia, Spika wa Bunge la Afrika
Mashariki (EALA) Martin Ngoga wa nne kutoka kulia, Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Job Ndugai wa nne kutoka kushoto mstari wa mbele pamoja na
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki mara baada ya kuwahutubia mjini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki ( EALA)
Martin Ngoga mara baada ya kuhutubia Bunge hilo la Afrika Mashariki
linalofanyika mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki ( EALA) Martin Ngoga mara baada ya
kuhutubia Bunge hilo la EALA. PICHA NA
IKULU














0 Comments