Random Posts

Spika Ndugai Akutana na Balozi wa Uganda Nchini Tanzania.

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Mabonero (kulia) alipomtembelea  Ofisini kwake Mjini Dodoma Aprili 11, 2018
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Mabonero (kulia) alipomtembelea  Ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Mabonero (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Wakurugenzi wa Wizara Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Taasisi Mbali mbali zilizochini ya Wizara hizo wakifuatilia uwasilishwaji wa hotuba za wizara zao zilizowasilishwa  Aprili 11, 2018 Bungeni Mjini Dodoma.


(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments