Random Posts

Spika wa BungeJob Ndugai Arejea Nchini Akitokea India kwa Matibabu

Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano, Job Ndugai amerejea nchini  Aprili 3, 2018 akitokea India alikokuwa amekwenda kwa ajili ya matibabu.
Katika mapokezi  yake, Ndugai amelakiwa na Mke wa rais Mstaafu jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salama Kikwete.

Post a Comment

0 Comments