Subscribe Us

header ads

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. Magufuli Akutana na Kufanya Mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar- Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ikulu Jijini Dar es Salaam

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein  mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula mara baada ya kumaliza mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments