Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa tukio la kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Bilago katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Mara baada ya tukio hilo mwili huo ulisafirishwa kwenda Wilayani Kakonko, Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Bilago. Mara baada ya tukio hilo mwili huo ulisafirishwa kwenda Wilayani Kakonko, Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiweka shada la maua wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Bilago. Mara baada ya tukio hilo mwili huo ulisafirishwa kwenda Wilayani Kakonko, Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.
PICHA NA BUNGE




0 Comments