Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akisalimiana na Mlezi Chama cha Viziwi Tanzania, Ndg. Hashim Ismail (kulia) walipomtembelea Mei 23, 2018 Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akimsikiliza Mlezi Chama cha Viziwi Tanzania, Ndg. Hashim Ismail (kulia) walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akizungumza na Mlezi Chama cha Viziwi Tanzania, Ndg. Hashim Ismail (kulia) walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Chama cha Viziwi Tanzania wakiongozwa na Mlezi Chama cha Viziwi Tanzania, Ndg. Hashim Ismail (wa pili kulia) walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)
0 Comments