Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Luhota pamoja na wanafunzi wa Shule ya
Msingi Kalambo zilizopo Iringa vijijini
wakati alipokuwa njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe
la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa Iringa vijijini katika eneo la Ndiwili (hawaonekani pichani) wakati
alipokuwa njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la
Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa Ipogolo mkoni Iringa wakati akitokea Kilolo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi kwa
kuimba nyimbo na vijana chipukizi wa Kilolo mara baada ya kuhutubia wananchi
waliofika kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa
Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.
PICHA NA IKULU





0 Comments