Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia mamia ya wafanyakazi katika Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi
Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoni Iringa.
Wafanyakazi
mbalimbali wakipita kwa maandamano katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe ya
Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoni Iringa.
Sehemu
ya Wafanyakazi waliohudhuria katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe ya Mei
Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoni Iringa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na wananchi mara baada ya kuhutubia mamia ya wafanyakazi katika Maadhimisho ya
Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoni Iringa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na wasanii wa kizazi kipya kutoka mkoani Iringa waliotumbuiza
katika Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja
wa Samora mkoni Iringa.
Sehemu
ya Walimu waliohudhuria katika Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa
zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoani Iringa wakipiga makofi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiwa na Chifu wa Wahehe, Mtwa Adam Mkwawa II ambaye alihudhuria katika
katika Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja
wa Samora mkoni Iringa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipunga
mkono wakati akiondoka katika uwanja wa CCM wa Samora mkoani Iringa mara baada
ya kuhutubia katika shere za Mei Mosi.
PICHA NA IKULU

















0 Comments