Random Posts

Warsha ya Mfumo wa Ufuatiliaji na Tathimini wa SADC Yafanyika Jijini Dar es Salaam

 Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kikanda,iNnocent Shiyo (kulia) akisikiliza maada maalumu Kuhusu warsha ya mafunzo juu ya mfumo wa ufuatiliaji na tathimini wa SADC kwa maafisa wa Serikali na Taasisi za Umma. Warsha hiyi ilifanyika Jijini Dar es Salaam Mei 16, 2018. Wengine ni washiriki kutoka taasisi mbalimbali za serikali. 
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo ya mfumo wa ufuatiliaji na tathimini wa SADC kwa maafisa wa Serikali na Taasisi za Umma. Warsha hiyi ilifanyika Jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni washiriki kutoka taasisi mbalimbali za serikali.

Picha zote na Prona Mumwi

Post a Comment

0 Comments