Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi
Isack Kamwelwe (Mb), wa pili kushoto,
akisaini mkakati kuhusu uendelezaji na utunzaji wa rasimali maji barani Afrika
ofisini kwake .
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mawaziri wa Maji
Barani Afrika (AMCOW) Dokta Canisius Kanangire, (kushoto) akishuhudia Waziri wa
Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akisaini mkakati kuhusu
uendelezaji na utunzaji wa rasimali maji barani Afrika ofisini kwake.
1. Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb),
kushoto, akifuatiwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Profesa Kitika Mkumbo, pamoja na wajumbe waliohudhuria kikao kutoka Baraza la
Mawaziri wa Maji Barani Afrika (AMCOW).




0 Comments