Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Semina Endelevu ya 29 ya Bodi
ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kwenye ukumbi wa
Hazina jijini Dodoma, Mei 18, 2018.
Waziri wa ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza wakati wa semina hiyo.
Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi Qs. Albert Munuo akizungumza wakati wa semina Endelevu ya 29 ya Bodi hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 18, 2018.
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Dkt.Ludigija Bulamile akisoma hotuba yake wakati wa semina Endelevu ya 29 ya Bodi hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea ngao ya shukurani kutoka kwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji
Majenzi, Dkt. Ludigija Boniface Bulamile baada ya kufungua semina
Endelevu ya 29 ya Bodi hiyo kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha ngao ya shukurani mara baada kupokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji
Majenzi, Dkt. Ludigija Boniface Bulamile baada ya kufungua semina
Endelevu ya 29 ya Bodi hiyo kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma,
Baadhi ya washiriki wa Semina Endelevu ya 29 ya Bodi ya Usajili wa
Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi wakimsikiliza Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa wakati alipofungua semina hiyo kwenye ukumbi wa Hazina
jijini Dodoma, Mei 18, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria makabidhiano ya mashine 10 za kufyatulia matofali zilizotolewa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuunga mkono ujenzi wa majengo bora Jijini Dodoma wakati wa Semina Endelevu ya 29 ya Bodi hiyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua za kufwatulia matofali zilizotolewa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuunga mkono ujenzi wa majengo bora Jijini Dodoma wakati wa Semina Endelevu ya 29 ya Bodi hiyo
Muonekano wa mashine zilizotolewa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuunga mkono ujenzi wa majengo bora Jijini Dodoma wakati wa Semina Endelevu ya 29 ya Bodi hiyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (katikati) Waziri wa ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya washiriki wa Semina Endelevu ya 29 ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi.
Picha zote na Philemon Solomon













0 Comments