Random Posts

Matukio Katika Picha Ziara ya Makamu wa Rais Kampasi ya Mloganzila

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Lulu Sakafu juu ya mashine ya kupimia saratani ya matiti wakati wa ziara yake katika hospitali yaTaaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili (MAMC), Kampasi ya Mloganzila.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mtaalamu na Mwalimu wa masuala ya Meno Dkt. Elison Simon wakati wa ziara yake katika hospitali yaTaaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili (MAMC), Kampasi ya Mloganzila.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mtoto Amani Ahmada mwenye umri ya miaka 6, wakati wa ziara yake katika hospitali yaTaaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili (MAMC), Kampasi ya Mloganzila.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wanaopata huduma ya matibabu Mloganzila wakati wa ziara yake katika hospitali yaTaaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili (MAMC), Kampasi ya Mloganzila.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Mradi Mhandisi Elly Kisoreka juu ya maendeleo ya ujenzi wa Mabweni ya wanafunzi wakati wa ziara yake katika hospitali yaTaaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili (MAMC), Kampasi ya Mloganzila.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Post a Comment

0 Comments