Subscribe Us

header ads

Wajumbe wa Kamati ya Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majezi ya Mawasiliano Watembelea Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ghorofa 35 PPF TOWER Jijini Dar es Salaam

  Meneja wa Utekelezaji wa Mradi ya PPF, Marko Kapinga (mbele kushoto mwenye kofia nyeupe) akiwatembeza  Wajumbe wa Kamati ya Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majezi ya mawasiliano katika mradi wa ujenzi wa jengo la ghorofa 35 PPF TOWER lililoko kando kando ya barabara ya Sam Nujoma, jijiji Dar es Salaam jirani na Mlimani City wakati wa wajumbe hao kufanya ziara ya kujifunza miradi mikubwa inayofanywa na wakandarasi.
Picha zote na Philemon Solomon
 Meneja wa Utekelezaji wa Mradi ya PPF, Marko Kapinga (aliyenyosha mkono) akielezea ujenzi wa  mradi wa ujenzi wa jengo la ghorofa 35 lililoko kando kando ya barabara ya Sam Nujoma, jijiji Dar es Salaam jirani na Mlimani City wakati wa wajumbe hao kufanya ziara ya kujifunza miradi mikubwa inayofanywa na wakandarasi.
 Meneja wa Utekelezaji wa Mradi ya PPF, Marko Kapinga akiendelea kuelezea ya mradi huo.
 Meneja wa Utekelezaji wa Mradi ya PPF, Marko Kapinga akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majezi ya mawasiliano katika mradi wa ujenzi wa jengo la ghorofa 35 lililoko kando kando ya barabara ya Sam Nujoma, jijiji Dar es Salaam jirani na Mlimani City wakati wa wajumbe hao kufanya ziara ya kujifunza miradi mikubwa inayofanywa na wakandarasi (kushoto)  QS Albert munuoKaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB)
  QS Albert munuoKaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) akielezea malengo ya ziara hiyo.
 Wajumbe wa Kamati ya Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majezi yamawasino katika mradi wa ujenzi wakiwa kwenye kikao.
 Wajumbe wa Kamati ya Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majezi ya mawasiliano  wakimsikiliza kwa umakini  Meneja wa Utekelezaji wa Mradi ya PPF, Marko Kapinga wakati akielezea mradi wa ujenzi huo.
Wajumbe wa Kamati ya Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majezi ya mawasiliano wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumaliza ziara.
Muonekano wa jengo la PPF TOWE utakapo kamilika.

Post a Comment

0 Comments