Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea kitabu cha Muongozo wa Sala toka kwa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga.
Kulia ni Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla na kushoto ni Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima baada ya viongozi hao wapya TEC kumtembelea Rais Magufuli ili kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018


0 Comments