Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono viongozi mbalimbali
waliomsindikiza katika uwanja wa Ndege wa Dodoma wakati akielekea Cairo nchini
Misri kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Mhe. Dkt.
Philip Isdor Mpango katika uwanja wa Ndege wa Dodoma kabla ya kuondoka nchini
kuelekea Cairo, Misri kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip
Isdor Mpango wakati akielekea kupanda Ndege kwenda Cairo, Misri kwa ajili ya
Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.
PICHA NA IKULU

0 Comments