Subscribe Us

header ads

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA 26 WA NCHI WANACHAMA WA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU MABADILIKO YA TABIANCHI COP26, GLASGOW, SCOTLAND

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP26  unaoendelea katika Mji wa  Glasgow, Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye jukwaa mara baada ya kuhutubia katika Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP26  unaoendelea katika Mji wa  Glasgow, Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi LiberathaMulamula pamoja na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)Mhe. SelemaniJafo mara baada kuhutubia katika Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP26 unaoendelea katika Mji wa Glasgow, Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakiwa katika Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP26  unaoendelea katika Mji wa  Glasgow, Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021. PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments