Subscribe Us

header ads

RAIS SAMIA SULUHU ATEMBELEA JENGO JIPYA LA MAKUMBUSHO KATIKA MJI MPYA WA SERIKALI CAIRO NCHINI MISRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uhifadhi wa nyaraka mbalimbali alipotembelea  Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana jioni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana jioni.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu alipotembelea  Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana jioni.

Post a Comment

0 Comments