Subscribe Us

header ads

SPIKA NUGAI MGENI MAALUM TAMASHA LA MVINYO JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Capital Wine, Bi. Esther Rogati wakati alipotembelea Banda la kampuni hiyo leo katika siku ya Tamasha la Mvinyo (Wine festival) linaloendelea katika Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma, Novemba 6, 2021
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Afisa utalii Mwandamizi Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Reuben Rwiza wakati alipotembelea Banda la hilo leo katika siku ya Tamasha la Mvinyo (Wine festival) linaloendelea katika Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma, Novemba 6, 2021

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Capital Wine, Bi. Esther Rogati wakati alipotembelea Banda la kampuni hiyo leo katika siku ya Tamasha la Mvinyo (Wine festival) linaloendelea katika Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma, Novemba 6, 2021
 (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments