Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia,
Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, George Simbachawene,
akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Kwanza
ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kushoto ni
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia,
Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, George Simbachawene (katikati),
akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Kwanza ya
Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kulia ni Naibu
Waziri, Khamis Hamza Chilo, wapili kushoto ni Katibu Mkuu, Christopher Kadio,
kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima na wapili kulia ni Katibu wa
Kamati, Jenitha Ndone. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Wajumbe
wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara wakimsikiliza
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George
Simbachawene (hayupo pichani), wakati alipokuwa akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati
hiyo kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini
Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

0 Comments