UKARABATI WA JENGO JUMUIYA YA WAZAZI WAKAMILIKA - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, 16 January 2022

UKARABATI WA JENGO JUMUIYA YA WAZAZI WAKAMILIKA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Dkt. Edmund Mndolwa akionyesha ufunguo juu kama ishara ya kupokea jengo la Jumuiya hiyo lililopo katika eneo la Mji Mpya Dodoma mara baada ya kukamilika kwa ukarabati uliokuwa ukifanywa na Kampuni ya Jitegemee Trading Company Limited.
(Picha na CCM Makao Makuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages