Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, Kinshasa nchini DRC - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 17 August 2022

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, Kinshasa nchini DRC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi wengine wakiingia kwenye Ukumbi wa Mkutano wa 42 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwenye Mji wa Kinshasa nchini DRC tarehe 17 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 42 wa SADC uliofanyika kwenye Mji wa Kinshasa katika nchi ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) tarehe 17 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Baadhi ya Viongozi, Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) waliokutana kwenye Mkutano wa 42 wa Viongozi hao uliofanyika katika Mji wa Kinshasa nchini DRC tarehe 17 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi wengine wakiwa kwenye Mkutano wa 42 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwenye Mji wa Kinshasa nchini DRC tarehe 17 Agosti, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages