Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Sukari Kilombero (K4),
tarehe 4 Agosti, 2024.
Picha za matukio mbali mbali mara baada ya hafla ya
uwekaji jiwe la msingi la Ujenzi wa Kiwanda cha Sukari cha Kilombero (K4)
uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 4 Agosti, 2024.
0 Comments