Subscribe Us

header ads

TANZANIA NA MISRI KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) (kushoto) akizungumza na Balozi wa Misri nchini Tanzania, Mhe. Sherif Abdelhamid Ismail (hayupo pichani) kuhusu kushirikiana Sekta ya Utalii katika kikao kilichofanyika leo Februari 18,2025 jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Watendaji kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT) na Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT).
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) akizungumza na Balozi wa Misri nchini Tanzania, Mhe. Sherif Abdelhamid Ismail kuhusu kushirikiana Sekta ya Utalii katika kikao kilichofanyika leo Februari 18,2025 jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) (kushoto) akikabidhiwa zawadi na Balozi wa Misri nchini Tanzania, Mhe. Sherif Abdelhamid Ismail (kulia) mara baada ya kikao kati yao kuhusu kushirikiana Sekta ya Utalii kilichofanyika leo Februari 18,2025 jijini Dar es Salaam.
------------------------------------

Post a Comment

0 Comments