Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini,
wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na
makundi maalum katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15
Machi, 2025.
Viongozi mbalimbali ikiwemo wa Dini, siasa,
wazee wa Mkoa wa Dodoma wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu
Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Machi, 2025.
No comments:
Post a Comment