Random Posts

RAIS DKT. SAMIA S ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA SADC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kwa njia ya Mtandao Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Post a Comment

0 Comments