Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan akijumuika na viongozi
kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Arusha pamoja
na makundi mbalimbali katika viwanja vya
Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 08 Machi, 2025.
Viongozi
wa dini, wazee wa Mkoa wa Arusha, wageni kutoka Taasisi mbalimbali wakiwa
kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 08 Machi, 2025.




















0 Comments